Fresher manenos!!
"Niaje Rex, mi ni fresher ndo nimetokea tu ushago juzi, vile nilifika campo nikapatana na Kijana Fulani hapo handsome ako na tupesa kiasi akaninconvince ananipenda na hivo ndio nililose uvajo. Kidogo kidogo akaanza kunifanyia madharau, ananicheat, hana time yangu na mi aki nafeel vibaya. Sa niliambia beshte yangu mi nadai kujitoa but ye ananishow ati ju sai mi si vajoo nivumilie tu ju sai nishalose importance sina value sai. I thought ni yeye tu but pia nimeskia skia watu wakisema ati kama dem si virgin hafai hata kuringa".
Guys, hii ni ukweli ama propaganda tu?
💬 Comments (0)