Kukataliwa
Ushai salimia mtu ukalengwa😂Ile day nilikuja kwa Shosh nilipata kuna boy anaitwa Zedi pia alikua anasaidia shosh kukata kuni. Mi nikam-crashia 😂… ju kijana ameiva niaje 😍. Alikua busy so nikajiambia akiniangalia tu, namsalimia. Sasa niko hapo nimesimama nangoja aniangalie, time aliniangalia nikamsalimia, sema kulengwa😭Nilikula bluetick live live😭aliniangalia na akaendelea na shughuli zake. Nilifeel vibaya, nikianza kujiuliza ama ni ukweli mimi ndo shida vile watu husema. Nikaanza kujishuku najiuiza kwani ni nini imefanya anilenge. Hadi sai bado nashangaa tu.
Wadau, ni nini inaeza Fanya ulenge mtu?
💬 Comments (0)