Pregnancy!!
"Mimi na mpoa hatujadate for long sana but kila wikendi nakuanga kwake, ananitrust na pia mimi namtrust, so kwa mechi pia tunakuanga raw abiding citizens, yeye ni msee wa pullout but kila time period yangu inachelewa kukam, ile stress inakuanga imenikalia ni noma. Sa si mi nikamchapia nadai kueka contra na hata nilikua nimebonga na chapia ikanirefer kwa hosy Fulani hapo kwa mtaa, but akaruka hiyo story kabisaa, lakini mi juu mimi hizi stress za pregnancy scares zilikua zimenitosha ikabidi nimshow haiwezi, juu hata the only reason nimemuuliza ni juu nadai kubuild future na yeye, final decision ni yangu, but yeye instead of kunisaidia kuweigh options zangu anadai kuniamulia. "
Girlies, unaeza deal aje na situation ka hii yenye choices zako kama dame on contra hazipelekani na maoni ya mtu wako?
💬 Comments (0)