Tuma fare nikuje sleepover
"Hello Rex hide I'd na I need advice 🙏🏾 Okay there's this guy nimejuana na yeye for long sasa last year ndo nikaingia box Yake sasa time yetu ya Kwanza kumeet ndo akaanza Ku open up kuwa ako na baby mama na ako na mtoto pia which is good Ku open up before relationship yetu ikuwe serious mm nikamkubali Tu despite ya yeye kuwa na baby mama sasa saii ameanza kuniambia anataka nimzalie mara anataka Ku settle na mm but mm naogopa ju naweza mzalia ama ni settle na yeye mwisho arudie baby mama wake,,, na pia jamaa ni mstingy ana think about himself ana fake promises sometimes akitaka tumeet hataki ata kusimamia fare nikienda sleep over ata ya food ni mgumu kutoa so naomba advice yenu what should i do ju nafikiria kumuacha
Mnaona best thing huyu dem anaeza do ni gani?
💬 Comments (0)