Wababa Chronicles
"Hide id, chali yangu alinipata nikikulana na mubaba....nafeel guilty sana juu naelewa ni kitu mbaya but ni ju nilikua nadai doo sana coz home wanashinda wakiniitisha dooh na nisipowapea inakua issues after issues. Job silipwi dooh enough na pia yeye nikimuomba dooh hanipei pia sa mi nikikua shughuli zangu club nikameet mubaba, akanishow ataniwai madoo na anifungulie biz kama nitampea mechi. Mi nikajua imejipa juu dooh nazo nahitaji. But sa chali yangu alitushika juu kuna day mubabaz alikuja kunichukua home, zile harakati za kuhug kukiss tukashikwa,of course hakusema mob alijitoa tu na hajarudi hadi leo,na ameniblock kila mahali."
Waresh ungekua huyu dame ungedo nini kugain trust ya huyu msee tena?
💬 Comments (0)